News

“Chombo cha kudhibiti upandaji holela wa bei kwenye sekta ya Afya kuanzishwa”- Dk.Kigwangalla

“Chombo cha kudhibiti upandaji holela wa bei kwenye sekta ya Afya kuanzishwa”- Dk.Kigwangalla

Serikali inaangalia uwezekano wa kuanzisha chombo maalumu cha kudhibiti gharama na bei zinazotozwa na vituo vya huduma za afya, ikiwa ni pamoja na bei...

Ushirikiano bado unahitajika kuukabili ugonjwa wa UKIMWI- Tanzania

Ushirikiano bado unahitajika kuukabili ugonjwa wa UKIMWI- Tanzania

Mkutano wa nganzi ya juu kuhusu ukimwi jana ( alhamis) uliingia katika siku yake ya pili ambapo viongozi mbalimbali wakiwamo Mawaziri na Naibu waziri...

Dk. Kigwangalla: “CHF iliyoboreshwa ni nguzo imara kwenye mkakati wetu wa Bima ya Afya”

Dk. Kigwangalla: “CHF iliyoboreshwa ni nguzo imara kwenye mkakati wetu wa Bima ya Afya”

CHF iliyoboreshwa itakuwa nguzo imara kwenye mkakati wetu wa kuelekea kwenye bima ya afya ya lazima kwa watu wote. Kwa sasa tuna miradi kwenye...

Naibu  Waziri wa Afya, Dkt.Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge Bungeni

Naibu Waziri wa Afya, Dkt.Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge Bungeni

 Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla ameendelea kuwakilisha vyema Bungeni kwa kujibu maswali mbalimbali ya wabunge...