Home

Dk. Kigwangalla: Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wasajiliwe ili watambulike kisheria

Dk. Kigwangalla: Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wasajiliwe ili watambulike kisheria

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Hamisi Kigwangalla (pichani) amewataka Waganga wa Tiba Asili ambao wamekuwa wakitoa huduma ya tiba pasipo kujisajili Baraza  la Tiba Asili na Tiba Mbadala ili waweze kutambulika kisheria wafanye hivyo mara moja ambapo pia hatuahali kwa watakao kiuka zitachukuliwa. Dk. Kigwangalla  asema hayo Bungeni Mjini Dodoma […]

Ushirikiano bado unahitajika kuukabili ugonjwa wa UKIMWI- Tanzania

Ushirikiano bado unahitajika kuukabili ugonjwa wa UKIMWI- Tanzania

Mkutano wa nganzi ya juu kuhusu ukimwi jana ( alhamis) uliingia katika siku yake ya pili ambapo viongozi mbalimbali wakiwamo Mawaziri na Naibu waziri wanaohusika na masuala ya afya wameendelea kuelezea nini ambacho nchi zao zinatekeleza katika kukabili na kudhibiti maambukizi mapya ya virusi vinavyo sababisha ukimwi pamoja na huduma wanazopatiwa watu ambao wamekwisha kuathirika […]

Naibu  Waziri wa Afya, Dkt.Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge Bungeni

Naibu Waziri wa Afya, Dkt.Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge Bungeni

 Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla ameendelea kuwakilisha vyema Bungeni kwa kujibu maswali mbalimbali ya wabunge kuhusu sekta ya Afya katika bunge linaloendelea sasa mjini Dodoma kwa sasa Bunge hilo kikao cha 34 cha Mkutano wa 3.

Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa uamuzi wa Serikali kuhusu Serikali kuhusu Tiba Asili na Tiba Mbadala katika mkutano wa waandishi ulifanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.kushoto ni Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu, ambapo ameleza kwamba watoa huduma hao ni lazima wasajiliwe na Baraza la […]