News

“Chombo cha kudhibiti upandaji holela wa bei kwenye sekta ya Afya kuanzishwa”- Dk.Kigwangalla

“Chombo cha kudhibiti upandaji holela wa bei kwenye sekta ya Afya kuanzishwa”- Dk.Kigwangalla

Serikali inaangalia uwezekano wa kuanzisha chombo maalumu cha kudhibiti gharama na bei zinazotozwa na vituo vya huduma za afya, ikiwa ni pamoja na bei za dawa na vifaa tiba. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dk. Hamisi Kigwangalla alisema bungeni kuwa mbali na mkakati huo, wanashirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara […]

Dk. Kigwangalla: “CHF iliyoboreshwa ni nguzo imara kwenye mkakati wetu wa Bima ya Afya”

Dk. Kigwangalla: “CHF iliyoboreshwa ni nguzo imara kwenye mkakati wetu wa Bima ya Afya”

CHF iliyoboreshwa itakuwa nguzo imara kwenye mkakati wetu wa kuelekea kwenye bima ya afya ya lazima kwa watu wote. Kwa sasa tuna miradi kwenye mikoa tisa. Miradi hii inatekelezwa na washirika wetu mbalimbali. “Sisi kama Wizara ya Afya tutaanza na mikoa mitatu wakati ili kujifunza kabla hatujatanuka na kumalizia mikoa yote ya Tanzania bara. Pamoja […]

Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa uamuzi wa Serikali kuhusu Serikali kuhusu Tiba Asili na Tiba Mbadala katika mkutano wa waandishi ulifanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.kushoto ni Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu, ambapo ameleza kwamba watoa huduma hao ni lazima wasajiliwe na Baraza la […]

Watumishi wa afya wawe wabunifu,dkt.kigwangwala

Watumishi wa afya wawe wabunifu,dkt.kigwangwala

Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto,Dkt.Hamisi Kigwangwala(katikati) akizungumza na viongozi wa hospitali ya Mount Meru mara Banda ya kutembelea sehemu mbalimbali za hospitali hilo,kulia ni mganga mkuu was mkoa Dkt.Frida Mokiti na kushoto Nina mganga mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt.Jackline Urio. Licha ya kutembelea wodi mbalimbali za wagonjwa,dkt. Kigwangwala alitembelea maabara ya hospitali […]

12