Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

Serikali yatoa mwongozo kuhusu tiba mbadala

mwongozo-01
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa uamuzi wa Serikali kuhusu Serikali kuhusu Tiba Asili na Tiba Mbadala katika mkutano wa waandishi ulifanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.kushoto ni Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu, ambapo ameleza kwamba watoa huduma hao ni lazima wasajiliwe na Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala wakiwemo wasaidizi wao, vifaa wanavyotumia na dawa. Pia imetoa muda wa miezi mitatu kwa mijini na vijijini miezi sita kutekeleza agizo hilo.
mwongozo-02
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kigwangalla akifafanua jambo kuhusu uamuzi wa Serikali kuhusu Tiba Asili na TibaMbadala katika mkutano wa waandishi ulifanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.kushoto ni Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu.
mwongozo-03