Watumishi wa afya wawe wabunifu,dkt.kigwangwala

Watumishi wa afya wawe wabunifu,dkt.kigwangwala

mtmeru1
Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto,Dkt.Hamisi Kigwangwala(katikati) akizungumza na viongozi wa hospitali ya Mount Meru mara Banda ya kutembelea sehemu mbalimbali za hospitali hilo,kulia ni mganga mkuu was mkoa Dkt.Frida Mokiti na kushoto Nina mganga mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt.Jackline Urio.
mtmeru2
Licha ya kutembelea wodi mbalimbali za wagonjwa,dkt. Kigwangwala alitembelea maabara ya hospitali hiyo na kuridhika na vifaa vilivyopo kwenye hospitali,kushoto ni mtaalamu wa viwango cya maabara,Felix zelote,akimpatia maelezo waziri huyo.
mtmeru3
Dkt.Kigwangwala amembeba mtoto mchanga(hajapewa Nina bado) wa Bi.Jamila Petro alipotembelea wodi ya wazazi hospitalini hapo.