Ziara ya Naibu Waziri wa Afya katika Hospitali ya rufaa ya Temeke

Ziara ya Naibu Waziri wa Afya katika Hospitali ya rufaa ya Temeke

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitembelea hospitali ya Rufaa ya Temeke wakati alipofanya leo ziara ya ghafla katika hospitali hiyo ili kujionea huduma zinazotolewa.
ziaratemeke-01
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangallaakipata maelezo ya huduma za maabara hospitali ya Rufaa ya Temeke kutoka kwa Meneja wa maabara hiyo wakati alipofanya leo ziara ya ghafla katika ili kujionea huduma zinazotolewa hospitalini hapo.
ziaratemeke-02
Moja ya kifaa cha kuhifadhia taka kilichopo katika maabara hiyo ambapo vitakiwa kuwa na rangi tofauti yaani na njano, nyeusi na nyekundu